Kuhusu Blogi hii
Karibuni sana kwenye ukurasa wangu mpya, ukurasa kwa ajili ya mijadala mbalimbali kuhusu Tanzania, tulipotoka, tulipo na tunakoenda. Je, tunaelekea kuwa nchi ya ahadi kama wengi tunavyodhania? Karibu tujadiliane kwa pamoja, karibu tuelekee nchi ya ahadi, nchi ya maziwa na asali.
Comments»
No comments yet — be the first.