jump to navigation

Kuelekea nchi ya ahadi December 5, 2006

Posted by Ramadhani Msangi in Siasa.
1 comment so far

Tuna kila kitu ambacho tunahitaji kwa ajili ya kuendelea, lakini hatuendelei. Tuna maji ya kutosha (japo wanatuongopea kuwa yanakwisha), tuna mabonde yenye utajiri mkubwa wa rasilimali muhimu kwa maendeleo, tuna ardhi ya klutosha yenye rutuba na…na…. Tunachokosa tu naamini ni uongozi wenye mikakati ya kimaendeleo. Uongozi wa kutupeleka kwenye nchi ya ahadi. Je, tufanyeje sasa ili kufikia kwenye hiyo nchi ya maziwa na asali??

Karibu tujadili matatizo yanayotukabili, njia muafaka za kuyatatua na kipi kifanyike ili tuweze kufikia tutakayoyajadili.

Follow

Get every new post delivered to your Inbox.