Hodi hodi mtandaoni! December 4, 2006
Posted by Ramadhani Msangi in Uncategorized.trackback
Ni mzee wa kufikiri, nafikiri mambo mengi sana kuihusu Tanzania, nchi niliyozaliwa, nchi ninayoipenda, na bilashaka nchi nitakayofia. Nafikria mengi sana na naamini ipo siku yatatimia na Tanzania itakuwa nchi ya ahadi
Advertisement
Tupo pamoja kuelekea hiyo nchi ya ahadi. karibu!